Friday, December 16, 2011

Chuo Kikuu Muhimbili nao wasimamisha wanafunzi 66

SIKU moja baada ya Chuo Kikuu cha Dares Salaam kuwafukuza wanafunzi 43 , Uongozi wa  Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), umewasimamisha masomo wanafunzi 66 kwa tuhuma za kuwa vinara wa vurugu chuoni hapo.Mbali na hatua hiyo, uongozi wa chuo hicho umeeleza kuwa mipango ya vitisho na uvunjifu wa amani chuoni hapo, bado ipo na inaleta hofu kwa walimu na wanafunzi wengine wanaoendelea na masomo.

1 comment:

  1. Mhhhh What Mukiza did for research paper one????Only God Knows....May God help us

    ReplyDelete