Wednesday, December 21, 2011

Jipange upya kwa sikukuu za xmas na mwaka mpya ratiba imebadilika


Wakazi waliojenga nyumba zao kandokando ya Mto Msimbazi eneo la Kigogo na Jangwani Barabara ya Morogoro, wamelazimika kuzikimbia nyumba zao baada ya mvua kubwa kunyesha karibu na sikukuu za xmas na mwaka mpya, mvua hizo zimesababisha idadi kubwa ya watu kupoteza maisha na wengine kukosa makazi.

No comments:

Post a Comment